Historia yetu

Machi 23

Gavana Inslee alitangaza agizo la “Kaa nyumbani, Kuwa na afya” 

01
02

Aprili

 Hundi za misaada zilianza kufika manyumbani lakini ikawatenga maelfu ya watu wa WA kwa sababu ya hali yao ya uhamiaji

Aprili 8:

Muungano wa Ndoto ya Washington na washirika walizindua hazina ya dharura ya msaada ya COVID-19 mashinani, wakachangisha zaidi ya dola millioni sita nukta mbili kwa sababu ya watu ambao hawakuweza kupata msaada wa serikali au bima ya asiyekuwa na ajira kwa sababu ya hali uhamiaji.

03
04

Apriil 30

Hazina ya msaada ya COVID-19 ya Washington kwa mhamiaji iliundwa ili kushinikiza kupata msaada unaofadhiliwa na serikali

Mei

Wafanyakazi wa shamba waligoma huko Yakima  kupinga hali ya kufanya kazi wakati wa COVID-19 

05
06

Juni 18

Gavana. Inslee pamoja na muungano wa ndoto ya Washington na wanachama wa muungano wa sensa ya Washington walifanya mkutano  wa pamoja na wanahabari.

Juni 23

Gavana Inslee alitangaza kujitolea kuweka hazina kwa ajili ya watu wasioweza kupata msaada wa serikali au bima kwa asiyekuwa na kazi kwa sababu ya hali ya uhamiaji.

07
08

Agosti 10

Gavana Inslee alitangaza hazina ya dola milioni arobaini

Oktoba 21

Hazina ya msaada ya COVID-19 ya Washington kwa mhamiaji ilizinduliwa.

09
Washington COVID-19 Immigrant Relief Fund
Contact Us
Supported and funded by the Washington State Department of Social and Health Services