Kuwafikia washirika

Wewe na shirika lako mnaweza tekeleza jukumu muhimu kusambaza ujumbe kuhusu Hazina ya msaada ya COVID-19 ya Washington kwa mhamiaji.

Hapo chini utapata zana na vifaa tofauti,ikiwa ni pamoja na zana ya kina yenye ujumbe uliopendekezwa, bango, kipeperushi, ana mengine mengi. Dondosha, chapisha,na utengeneze ili iafiki mahitaji ya shirika lako.

Ikiwa una swali, au ungependa kupata usaidizi kuhusu kusambaza ujumbe, tafadhali wasiliana na: eprobus@pyramidcommunications.com

Zana ya ujumbe

Machapisho ya mtandao ya jamii

Bango (lililoundiwa nembo na nambari ya simu)

Kadi ya posta

Kadi ya posta (lililoundiwa nembo na nambari ya simu)

Kipeperushi cha simu

Kipeperushi cha simu (lililoundiwa nembo na nambari ya simu)

Kipeperushi cha kuchapisha

Kipeperushi cha kuchapisha (lililoundiwa nembo na nambari ya simu)

Washington COVID-19 Immigrant Relief Fund
Contact Us
Supported and funded by the Washington State Department of Social and Health Services